Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Wiki iliyopita nilikuwa napita ghetto usiku saa mbili hivi, nikawaona watoto wachache wamekaa pale,wasichana nikatoa offer,nikawapa sh.1000(elfu moja) buku. Wakaikataa.
Sasa,I was very shocked. Ile hela nikaichana kwa hasira zangu,nikawaachia pale, nikaondoka.
Ingawa,kwa kweli,siyo jambo zuri.
Mtu lazima azoee taabu mapema katika maisha yake ili yakitokea matatizo asifanye uamuzi wa kukurupuka.
Nikawaacha pale wanasema ,"Surely huyu mtu ni muovu sana,anachana hela,tumpeleke mahakamani".
Sasa Abdul amewapa Hawa watu hela,wanakasirika kupewa hela. Hii haieleweki.
Binadamu anapaswa kuwa na roho ya kupenda hela.
Ingawa pale inawezekana pia kwamba Abdul alikuwa anamtishia maisha Lissu kwa ajili amesema.