Nashauri Babu Hans apewe timu ya Taifa

Nashauri Babu Hans apewe timu ya Taifa

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Hans Van pluijm mwalimu wa kidachi na inafahamika wadachi wanafahamika kwa mpira wa kuvutia wa total football. Babu Hans kiukweli yupo vizuri na soka la bongo analijua na sio Bongo tu hata Africa kwa ujumla sababu ya uzoefu wake.

Leo hii tumeiona singida united tofauti na vilabu vingine kama coastal, Prisons ,Ruvu nk ...Singida united inayopiga pass na flow za pass zinaonekana na building ya timu inaanzia nyuma kipa habutui bali anaanza mashambulizi kwa pass fupi kwa beki zake.Huyu mwalimu anajua kuijenga timu kimifumo

Ingekuwa ndio mimi ningempa majukumu ya kuinoa timu ya taifa,Babu anajua tokea aondoke yanga saizi yanga ule mpira wa kuvutia hamna tena

7ef69f06803365afeda9433d62ab1f26.jpg
 
Umeongea kweli kabisa! Timu sasa inamapungufu madogo sana. Hans ni bonge la kocha. Kuna watu wanaleta ubishi wa kishamba tu.
 
hapa ndio unajiuliza busara ya uongozi wa Yanga kumtupa kama tambara bovu na kukimbilia kwa Lwanda
 
Back
Top Bottom