CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini.
Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa kuunga mkono viongozi wetu na mafanikio haya.
Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa kuunga mkono viongozi wetu na mafanikio haya.