The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 216
Hivi utatangazaje kuwa radio haipigi nyimbo zako hivi kwani unawalipa au una mkataba nao . Radio zina utaratibu wao na uamuzi wao. Kusema eti clouds wanafanya mpango afukuzwe kwenye ukumbi anaoutumia pia huo ni uongo na utoto . Hivi huo ukumbi hana mkataba. Watanzania wengi wanapenda njia za mkato. Kama muda wako umepita huwezi ku force. Acha wenzako nao wa shine
Kupe hapa nadhani una chuki binafsi na binti machozi. Yaani kwa namna anavyoimba unaona kachuja kiasi cha kuwapisha waimbaji wengine ambao wengi wao wanaimba melody za aina moja kwa kiasi kikubwa?