Hivi utatangazaje kuwa radio haipigi nyimbo zako hivi kwani unawalipa au una mkataba nao . Radio zina utaratibu wao na uamuzi wao. Kusema eti clouds wanafanya mpango afukuzwe kwenye ukumbi anaoutumia pia huo ni uongo na utoto . Hivi huo ukumbi hana mkataba. Watanzania wengi wanapenda njia za mkato. Kama muda wako umepita huwezi ku force. Acha wenzako nao wa shine