May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao.
Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania.
Kinyume cha hapo ni kuendelea kumuingiza kwenye mgogoro na mashabiki ambao kama tujuavyo wengi wao hawana subira wala staha, watamtukana na kutuingiza kama taifa kwenye kashfa ya ubaguzi.