Japo mie ni yanga,mpeni muda dejan mtamkubaliAu naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao.
Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania.
Kinyume cha hapo ni kuendelea kumuingiza kwenye mgogoro na mashabiki....ambao kama tujuavyo wengi wao hawana subira wala staha...watamtukana na kutuingiza kama taifa kwenye kashfa ya ubaguzi.
Kila nchezaji anatakiwa kujituma kwa uwezo wake wote. Kumpa mechi laini ndio kutampoteza zaidi. Acha utopolo waendelee kumsema ili apate hasira kama walizokuwa nazo kina Etoo, Henry na DrogbaAu naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao.
Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania.
Kinyume cha hapo ni kuendelea kumuingiza kwenye mgogoro na mashabiki....ambao kama tujuavyo wengi wao hawana subira wala staha...watamtukana na kutuingiza kama taifa kwenye kashfa ya ubaguzi.
Kwa nini mnashauri aendelee kuwepo?Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao.
Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania.
Kinyume cha hapo ni kuendelea kumuingiza kwenye mgogoro na mashabiki....ambao kama tujuavyo wengi wao hawana subira wala staha...watamtukana na kutuingiza kama taifa kwenye kashfa ya ubaguzi.
Amecheza dakika ngapi mpaka tuhitimishe kuwa ame flop?...tusimuonee aise, yule Kijana nae anatafuta ati.Kwa nini mnashauri aendelee kuwepo?
Hivi Simba ni kikosi cha kufanyia majaribio?
Kama mchezaji ameflopp ulaya unadhani hapa kwetu atafanya nini?
Sijamaanisha kuwa lengo kuu ni kuonesha makali bali ni ili acheze akiwa na pesha ndogo na hata Mashabiki watakuwa wame relax...anaweza akatuliza akili akafanya kilicho ndani ya uwezo wake.Yaani apangwe mechi rahisi au ambazo simba anaongoza kwa magoli mengi ili AONYESHE MAKALI?????
Kweli hampo serious