Nashauri hili ndio liwe vazi la taifa, tutaokoa fedha na gharama

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha

Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
IMG_20220924_153331.jpg
 
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha

Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
View attachment 2366772
Mambo ya vazi la taifa hayawezekani maana ni vitu ambavyo vinatokana na utamaduni tu tangu zamani. Wajanja walijipanga wakapiga ela eti wanatafuta kubuni vazi la taifa.
 
Hivi bado kuna watu wanaumiza kichwa kichwa Juu ya vazi la Taifa kweli...???
 
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha

Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
View attachment 2366772
Duh...!. Hiyo si ni suti ya kizungu!. Yaani vazi la wazungu ndio tulifanye vazi letu la taifa!.
P
 
Mbona yote ni stail kutoka kutoka kwa wazungu,kasoro tai.
 
Ukichunguza mavazi ya taifa yote sio original, yaliigwa yakawa customized
Suti ya wazungu lakini tumei customize kwa kuweka bendera yetu
 
Mbona yote ni stail kutoka kutoka kwa wazungu,kasoro tai.

Hata tai ni vazi la wazungu, labda uongelee rangi ya tai. Sasa hilo litakuwa sio vazi la taifa, bali itakuwa rangi ya taifa kwenye vazi la kizungu.
 
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha

Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
View attachment 2366772
Pato la taifa ni shida unatala vazi la taifa?
Unataka unadhifu wakati upo mtupu kwa pocket... ngumu bro!!
 
Back
Top Bottom