Nashauri hili ndio liwe vazi la taifa, tutaokoa fedha na gharama

Mambo ya vazi la taifa hayawezekani maana ni vitu ambavyo vinatokana na utamaduni tu tangu zamani. Wajanja walijipanga wakapiga ela eti wanatafuta kubuni vazi la taifa.
 
Hivi bado kuna watu wanaumiza kichwa kichwa Juu ya vazi la Taifa kweli...???
 
Duh...!. Hiyo si ni suti ya kizungu!. Yaani vazi la wazungu ndio tulifanye vazi letu la taifa!.
P
 
Mbona yote ni stail kutoka kutoka kwa wazungu,kasoro tai.
 
Duh...!. Hiyo si ni suti ya kizungu!. Yaani vazi la wazungu ndio tulifanye vazi letu la taifa!.
P
Ukichunguza mavazi ya taifa yote sio original, yaliigwa yakawa customized
Suti ya wazungu lakini tumei customize kwa kuweka bendera yetu
 
Wewe utakuwa ni chawa wa mzee wa ya ya ya yaya ya..
 
Mbona yote ni stail kutoka kutoka kwa wazungu,kasoro tai.

Hata tai ni vazi la wazungu, labda uongelee rangi ya tai. Sasa hilo litakuwa sio vazi la taifa, bali itakuwa rangi ya taifa kwenye vazi la kizungu.
 
Pato la taifa ni shida unatala vazi la taifa?
Unataka unadhifu wakati upo mtupu kwa pocket... ngumu bro!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…