Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
leooo KAZI n kaziiii

je mmejiandaaje na matukiiooo YOYOTE kulindaaa afya za WATU na uhai waooooo

Mkumbuke KUNA BIA za BEI nafuuu wapo watakaolewa na kuzidiwa kwa furaha na wengine KUFANYA vitendo VYA uvunjifu wa AMANI hilii naloo lakuangalia

nisingependaa kufurahiiia KWENDA AFCON HUKU mamia wakifa kwa furaha ama kuumia uwanjani

tff na wahusika wengineo mjiandae kwa hili
 
Yaan cha kushangaza jezi za simba zinajulikana mpaka na watoto wadogo lkn za taifa tu hazijulikan

Sent using Jamii Forums mobile app
Tff wajinga kwel kila kukicha wanatuletea mijez ya Taifa milangi tofauti tofauti awajifunz kwa wenzetu walio piga atua kwa mfano jez za Brazil, England, Argentina, Nigeria, south Africa azibadili langi kakin cc mbaka kesho atujajua jez yetu ya Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jezi zipo kama nailoni zinauzwa kama njugu kariakoo
 
Hivi kwa mfano tunashinda na Lesotho wanashinda kule ca'verde, je ofa itatolewa au ofa itafanyiwa mazishi?
 
Kheri hii mechi inapigwa mda mmoja, laiti mechi ya Cape verde ingetangulia alafu lesotho wameshinda...taifa(uwanjan) tungeenda wapenzi wa football.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom