Uache siasa . Si kila mahali unaweka siasa.halaf ww unakili .usiwe kama yule mwenzako elitwege.. ambae kila kitu anaweka siasa.CHADEMA inahusika
Bila shaka ni aliyezitengeneza!Nani anahusika?
Yaan cha kushangaza jezi za simba zinajulikana mpaka na watoto wadogo lkn za taifa tu hazijulikanHao watakuwa Wenyewe walikuwa wanatujaribu,Sasa wameona mwitikio siyo ule walioutegemea wamekana hawahusiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza na za KWANGU 2 kwa Uganda Mkuu ziwe 5
Unamoverate tu mkuu, Lumumba na akili wapi na wapi?Uache siasa . Si kila mahali unaweka siasa.halaf ww unakili .usiwe kama yule mwenzako elitwege.. ambae kila kitu anaweka siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tff wajinga kwel kila kukicha wanatuletea mijez ya Taifa milangi tofauti tofauti awajifunz kwa wenzetu walio piga atua kwa mfano jez za Brazil, England, Argentina, Nigeria, south Africa azibadili langi kakin cc mbaka kesho atujajua jez yetu ya TaifaYaan cha kushangaza jezi za simba zinajulikana mpaka na watoto wadogo lkn za taifa tu hazijulikan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa sikutukani leo ni siku takatifu na mwezi wa toba. Asante MpwaCHADEMA inahusika
NaniBila shaka ni aliyezitengeneza!
Acha kufananisha Simba na kichwa cha mwendazimu!!Yaan cha kushangaza jezi za simba zinajulikana mpaka na watoto wadogo lkn za taifa tu hazijulikan
Sent using Jamii Forums mobile app