ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
mkuu hapo ndo utaharibu watakuazimia fastaserikali hii haiwezi kula matapishi yake
.Kama kuna diwani anazingua wewe muongeleshe umombo tu yy mwenyewe atakula kona
Nimekua nafuatilia mwenendo wa shule hizi za sekondari hasa za kata utendaji wake si mzuri kwakuwa maamuzi mengi hutegemea utashi wa madiwani na watendaji wa vijiji au kata. Nashauri idara hii irudi Wizara ya Elimu. Nawasilisha tuchangie
hilo ndo tatizo la walimu wa sekondari wengi, roho zao hazijakubali kuwa Tamisemi. Kwani madiwani wana matatizo gani?