Nashauri Jeshi la EAC litakaloundwa na lile litakaloenda Congo DR liwe na Ukubwa huu wa Kiubora

Nashauri Jeshi la EAC litakaloundwa na lile litakaloenda Congo DR liwe na Ukubwa huu wa Kiubora

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda

40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda

4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya

3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania

1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi

1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR

0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini

Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.

Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
 
Majeshi hayapangwi kienyeji hivyo ujue Kuna kugharimia gharama pia Kwa uwiano unataka nusu ya gharama za vita tubebe watanzania?
 
Hao Rwanda mna wa overrate sana, si ndio hao walipigwa na JK kule kongo mpaka wakaomba msamaha au ?
 
Katika Maelezo yangu hapo juu nimezungumzia Ubora wa Kijeshi ( nikimaanisha Uwezo ) au nimezungumzia Ubora wa Kiuchumi wa nchi Wanachama?

Umekurupuka.....!!
Ubora wa jeshi pekee hautoshi labda ongeza zaidi hizo gharama za hiyo asilimia 50 ya Rwanda wakienda atalipa nani?
 
50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda

40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda

4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya

3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania

1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi

1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR

0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini

Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.

Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
Wewe kweli popoma...

Rwanda 50%...?

Waende JWTZ tu..
 
Wale magaidi waliopigwa kibiti hadi wakakimbilia Msumbiji au wengine ?
Hao RDF ndiyo walienda Kuwamaliza kabisa Magaidi na Waasi wa kule Msumbiji wakati Wanajeshi wa Jeshi lako ( nisilolijua ) wakiishia tu Kuvunjwa Miguu, kutolewa Utumbo, Bandama, Kolomero na hata Kuuwawa huku Maiti zao zikiletwa na Chopper na Kuzikwa Kisirisiri.
 
Hao RDF ndiyo walienda Kuwamaliza Magaidi na Waasi wa kule Msumbiji wakati Wanajeshi wa Jeshi lako ( nisilolijua ) wakiishia tu Kuvunjwa Miguu, kutolewa Utumbo, Bandama, Kolomero na hata Kuuwawa huku Maiti zao zikiletwa na Chopper na Kuzikwa Kisirisiri.
Uongo mmm
Magaidi wa Msumbiji walikuwa Tanzania wakakimbizwa hapa wakatorokea Msimbiji kule Sasa Rwanda anawamalizia Kila mmoja kafanya lake Kwa wakati wake.Vizuri.Tanzania wamedhitiwa kwetu.Rwanda anawadhibiti Msimbiji.Lengo wasiwepo pili hakuna majeshi wa nchi yeyote ambaye huzikwa Kwa Siri hayupo
 
Nimeweka hivyo kwakuwa najua kuwa Jeshi la Rwanda ( RDF ) ndiyo Jeshi Bora, Mahiri na lenye Uzalendo hasa kuliko lolote lingine na hasa lile la Wapiga hovyo Watu na Wanywa Gongo na Washinda Vijiwe vya Kubeti huku Wakigombana na Makahaba katika Gesti kwa kushindwa Kuwalipa Fedba zao walizowaahidi.
Yote sawa likiwa Jeshi la Rwanda kuwa ni Bora ndio vizuri sana Tena sana ili mauaji ya kimbari yasije jirudia. sababu bila kuwa na jeshi Bora yaweza jirudia swali ni je wakienda asilimia 50 Kongo Kwa hayo mapendekezo Yako gharama zao atagharimia nani?
 
50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda

40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda

4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya

3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania

1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi

1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR

0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini

Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.

Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
Somalia leo anapewa nafsi kuwa ktk jumuiya

Huna taarifa hzo
 
Katika Maelezo yangu hapo juu nimezungumzia Ubora wa Kijeshi ( nikimaanisha Uwezo ) au nimezungumzia Ubora wa Kiuchumi wa nchi Wanachama?

Umekurupuka.....!!
Ubora wa majeshi haupimwi kwa hisia au haupangwi kwa hesabu za kayumba.

Rwanda kwa kigezo gani:
Medani au ubora wa siraha?
Ujasiri au op zilizofanikiwa?
Wingi wa op?
Au kujisifia?
 
50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda

40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda

4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya

3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania

1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi

1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR

0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini

Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.

Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
hilo jeshi la rwanda asilimia 100,watakuwa ni m23 waliovalishwa sare za jeshi na vitambulisho vya mchongo!!!!!!!!!!!!!!!,na asilimia 100 wa jeshi la uganda watakuwa wanyarwanda!!!!!!!
 
Back
Top Bottom