Nashauri Jeshi la EAC litakaloundwa na lile litakaloenda Congo DR liwe na Ukubwa huu wa Kiubora

Nashauri Jeshi la EAC litakaloundwa na lile litakaloenda Congo DR liwe na Ukubwa huu wa Kiubora

Hao RDF ndiyo walienda Kuwamaliza kabisa Magaidi na Waasi wa kule Msumbiji wakati Wanajeshi wa Jeshi lako ( nisilolijua ) wakiishia tu Kuvunjwa Miguu, kutolewa Utumbo, Bandama, Kolomero na hata Kuuwawa huku Maiti zao zikiletwa na Chopper na Kuzikwa Kisirisiri.
Waasi Kaskazini mwa Msumbiji bado wapo. Na majeshi kutoka kwa Mkwavinyika yanaendelea na op
 
Hehee Watu mnalichukulia Poa jeshi Letu, lakini ipo waz east africa hakuna jeshi kama JWTZ na kwa taarifa yakoo JWTZ ndo benchmark kwa ubora kwa nchi chini ya jangwa la sahara.
 
Popoma akili kisoda anapogeuka kuwa mpima akili za watu.
Huna akili utawezaje kuwa kupimo cha wenye akili!?
Wahi milembe
Hili jamaa GENTAMYCINE linajionaga linajua sana kumbe zinga la Popoma. Katika wapumbavu na wajinga wanaoiabisha JF huyu jamaa anaongoza. Halafu shida zaid hajijui kua hajui.
 
Sasa kama hujui kuwa Jeshi la Rwanda na Rais Kagame walipewa Shukran na Msumbiji na hata AU na SADC kwa Kupambana vyema na Kuwakabili Magaidi hatari waliokuwa Wakisumbu huko Misituni Msumbiji si nitakuwa napoteza tu muda wangu Kujibizana nawe?
Wew, hao magaidi walianzia Kibiti, wakafinywa vya kutosha ndo wakakimbilia huko msumbiji,
So ulitaka JW waende msumbiji?
 
Wew, hao magaidi walianzia Kibiti, wakafinywa vya kutosha ndo wakakimbilia huko msumbiji,
So ulitaka JW waende msumbiji?
Anajulia wapi huyu popoma hakuna ajualo. Anachowaza au kuweza yeye ni kujisifia muda wote.
 
50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda

40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda

4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya

3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania

1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi

1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR

0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini

Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.

Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
Africa hamna Jeshi lina kitu kinaitwa ubora. Acha kujidanganya. Tafuta visa uende show za majeshi kwenye nchi zilizoendelea halafu utagundua unasifia sungusungu tu.
 
Kuna post moja ya Dabil ulii Like aliposema anataka BAN yangu iwe ya PERMANENT sasa inakuwaje tena umepata hadi muda wa Kuchangia katika huu Uzi wangu? Mnafiki mkubwa Wewe.

Haya muite huyo Dabil na Mwenzake Charles kilian waliotaka BAN yangu niliyopewa isiishe ( yaani nisifunguliwe tena ) kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE nimerudi.

Kudadadeki zenu....!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu humu ameandika akisema wewe ni popoma akili kisoda, nimeanza kuamini.

Mtu uliye na mambo yake unaanzaje kuangalia nani aliyelike mchangia mada.

Kama hili linakupa mawazo hadi stress ndio utaweza kuchambua majeshi ya Afrika Mashariki?

Kingine Mimi huwa nashambulia mada au hoja bila kujali mtoa mada Wala aliyelike.

Sawa ndugu charismatic, talented idiot
 
Kweli nasapoti waende RDF, ili waka apply Kile ambacho huwa JWTZ inawafundisha kila mwaka kule Ngerengere na Monduli. Tena wapelekwe wale waliomaliza mafunzo ya Afisa kadeti ile juzi pale Monduli. Haiwezekani mwalimu na mwanafunzi wakaingia kwa pamoja kufanya mtihani mmoja.
 
Back
Top Bottom