GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimeyakanyaga...😅Huko kula Kwangu BAN kila Kukicha kunapunguza Upumbavu na Umasikini wako uliokukomaa?
Ubora wa jeshi pekee hautoshi labda ongeza zaidi hizo gharama za hiyo asilimia 50 ya Rwanda wakienda atalipa nani?Katika Maelezo yangu hapo juu nimezungumzia Ubora wa Kijeshi ( nikimaanisha Uwezo ) au nimezungumzia Ubora wa Kiuchumi wa nchi Wanachama?
Umekurupuka.....!!
Wewe kweli popoma...50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda
40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda
4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya
3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania
1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi
1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR
0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini
Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.
Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
Hao RDF ndiyo walienda Kuwamaliza kabisa Magaidi na Waasi wa kule Msumbiji wakati Wanajeshi wa Jeshi lako ( nisilolijua ) wakiishia tu Kuvunjwa Miguu, kutolewa Utumbo, Bandama, Kolomero na hata Kuuwawa huku Maiti zao zikiletwa na Chopper na Kuzikwa Kisirisiri.
Uongo mmmHao RDF ndiyo walienda Kuwamaliza Magaidi na Waasi wa kule Msumbiji wakati Wanajeshi wa Jeshi lako ( nisilolijua ) wakiishia tu Kuvunjwa Miguu, kutolewa Utumbo, Bandama, Kolomero na hata Kuuwawa huku Maiti zao zikiletwa na Chopper na Kuzikwa Kisirisiri.
Yote sawa likiwa Jeshi la Rwanda kuwa ni Bora ndio vizuri sana Tena sana ili mauaji ya kimbari yasije jirudia. sababu bila kuwa na jeshi Bora yaweza jirudia swali ni je wakienda asilimia 50 Kongo Kwa hayo mapendekezo Yako gharama zao atagharimia nani?Nimeweka hivyo kwakuwa najua kuwa Jeshi la Rwanda ( RDF ) ndiyo Jeshi Bora, Mahiri na lenye Uzalendo hasa kuliko lolote lingine na hasa lile la Wapiga hovyo Watu na Wanywa Gongo na Washinda Vijiwe vya Kubeti huku Wakigombana na Makahaba katika Gesti kwa kushindwa Kuwalipa Fedba zao walizowaahidi.
Umehamia kingerezaYou're boring me with your Silly remarks.
Pombe sio chai kingereza kimeanza kutiririkaPlease you're boring me with your Silly remarks.
Pombe mtu ikikolea huhama kiswahili na kuanza kutiririka kingereza sijui Kwa NiniYou're boring me with your Silly remarks.
Somalia leo anapewa nafsi kuwa ktk jumuiya50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda
40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda
4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya
3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania
1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi
1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR
0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini
Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.
Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.
Ubora wa majeshi haupimwi kwa hisia au haupangwi kwa hesabu za kayumba.Katika Maelezo yangu hapo juu nimezungumzia Ubora wa Kijeshi ( nikimaanisha Uwezo ) au nimezungumzia Ubora wa Kiuchumi wa nchi Wanachama?
Umekurupuka.....!!
Kamuulize Baba yakoUmeshajifungua?
hilo jeshi la rwanda asilimia 100,watakuwa ni m23 waliovalishwa sare za jeshi na vitambulisho vya mchongo!!!!!!!!!!!!!!!,na asilimia 100 wa jeshi la uganda watakuwa wanyarwanda!!!!!!!50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda
40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda
4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya
3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania
1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi
1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR
0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini
Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani hata Ubora wa Majeshi wa EAC kwa Uchunguzi na Uzoefu wangu tukuka na wa Kiubobezi uko hivyo hivyo ukibisha / ukinibishia katika hili basi jua ya huna Akili kabisa.
Haya wa Arusha mlizingatie mno hili.