Nashauri Jeshi la EAC litakaloundwa na lile litakaloenda Congo DR liwe na Ukubwa huu wa Kiubora

Waasi Kaskazini mwa Msumbiji bado wapo. Na majeshi kutoka kwa Mkwavinyika yanaendelea na op
 
Hehee Watu mnalichukulia Poa jeshi Letu, lakini ipo waz east africa hakuna jeshi kama JWTZ na kwa taarifa yakoo JWTZ ndo benchmark kwa ubora kwa nchi chini ya jangwa la sahara.
 
Popoma akili kisoda anapogeuka kuwa mpima akili za watu.
Huna akili utawezaje kuwa kupimo cha wenye akili!?
Wahi milembe
Hili jamaa GENTAMYCINE linajionaga linajua sana kumbe zinga la Popoma. Katika wapumbavu na wajinga wanaoiabisha JF huyu jamaa anaongoza. Halafu shida zaid hajijui kua hajui.
 
Sasa kama hujui kuwa Jeshi la Rwanda na Rais Kagame walipewa Shukran na Msumbiji na hata AU na SADC kwa Kupambana vyema na Kuwakabili Magaidi hatari waliokuwa Wakisumbu huko Misituni Msumbiji si nitakuwa napoteza tu muda wangu Kujibizana nawe?
Wew, hao magaidi walianzia Kibiti, wakafinywa vya kutosha ndo wakakimbilia huko msumbiji,
So ulitaka JW waende msumbiji?
 
Wew, hao magaidi walianzia Kibiti, wakafinywa vya kutosha ndo wakakimbilia huko msumbiji,
So ulitaka JW waende msumbiji?
Anajulia wapi huyu popoma hakuna ajualo. Anachowaza au kuweza yeye ni kujisifia muda wote.
 
Africa hamna Jeshi lina kitu kinaitwa ubora. Acha kujidanganya. Tafuta visa uende show za majeshi kwenye nchi zilizoendelea halafu utagundua unasifia sungusungu tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu humu ameandika akisema wewe ni popoma akili kisoda, nimeanza kuamini.

Mtu uliye na mambo yake unaanzaje kuangalia nani aliyelike mchangia mada.

Kama hili linakupa mawazo hadi stress ndio utaweza kuchambua majeshi ya Afrika Mashariki?

Kingine Mimi huwa nashambulia mada au hoja bila kujali mtoa mada Wala aliyelike.

Sawa ndugu charismatic, talented idiot
 
Kweli nasapoti waende RDF, ili waka apply Kile ambacho huwa JWTZ inawafundisha kila mwaka kule Ngerengere na Monduli. Tena wapelekwe wale waliomaliza mafunzo ya Afisa kadeti ile juzi pale Monduli. Haiwezekani mwalimu na mwanafunzi wakaingia kwa pamoja kufanya mtihani mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…