Nashauri Jose Luís Miquissone Aombe atolewe kwa Mkopo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Nashauri uongozi wa mchezaji Luís Miquissone Uuombe uongozi Wa Simba Umtoe mchezahi huyo kwa mkopo kwa timu zisizo na presha.

mfano Namungo,Singida FG,Kmc na Nyinginezo zinazoweza kumpa dk nyingi Uwanjani ajitafute mpaka Mwisho wa Msimu

Kwa presha ya matokeo na Mwenendo wa Timu ya Simba Sc kwa Sasa ni Ngumu sana kwa mchezaji huyo kurudi hata kwenye nusu ya ubora wake aliokua na hapo awali kabla hatimkia Al Ahly


NB: Simba Sc Kushiriki Club Bingwa Dunia ni Swala la mda tu..
 
Ndio maana tunasema tunamashabiki maandazi/Mazwazwa na sio wanamichezo(wakung'amua mambo)

Bongo kama ni Straika ukisajiliwa leo wanataka ufunge hatrick leoleo zikipita mechi 5 hujafunga wanachora mstari kwamba hakuna mchezaji hapo
 
aombe mkopo afu aende wapi sasa wakati walau hapo simba anakula mpunga. huyo mpira sijui waarabu wamemfanya nini huko. alikuwa hatari mno, alivyoenda kwa waarabu tu...kwishaaa.
 
Apewe muda atakaa sawa.mpira sio rahisi kama tunavyofikiria,labda hii mipira yetu ya mtaani ya panga pangua.Kwamuda ambao alikua nje ya uwanja itamchukua muda kidogo kuendana na mazingira ya timu aliyoyakuta.Ata onana watu walimuona hafai ila baada ya benchika kumuamini kaonyesha kumbe anaweza ni mambo yakuandaliwa tu.Sasa hiyo kazi tumuachie kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…