Nashauri kama jamii tumpe tuzo Rebecca Mulesi ama hata kumfungulia mfuko ambao utahusisha kuwasaidia watu wenye uhitaji

Nashauri kama jamii tumpe tuzo Rebecca Mulesi ama hata kumfungulia mfuko ambao utahusisha kuwasaidia watu wenye uhitaji

Rahabu Fred nilikuwa namwelewa sn kwenye kipind cha Searchline!! Yule mama ana busara sn..mume wake sasa...FREDWAAA[emoji23]
 
Rahabu Fred nilikuwa namwelewa sn kwenye kipind cha Searchline!! Yule mama ana busara sn..mume wake sasa...FREDWAAA[emoji23]
Fred War bangi sana pusha wake alikuwa Deokaji Makomba(ze simple man)
 
Huyo mtoto wa kwenye picha ya pili hapo, nina mfahamu kbs, anaitwa Edinetha, n mtoto wa babangu mdogo aliyezaliwa baada ya yeye kutembea na mfanyakazi wetu.Tangu zaman sn tukimuulza mtoto yuko wapi anasema yupo kwa mama ake, kumbe walimtupa..?? naandika haya huku machoz yakinilenga roho inaniuma sana.Sijui nampataje tu, wadau nisaidieni.
 
Back
Top Bottom