jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Natambua kuwa Kamati tajwa imepewa hadidu za rejea kadhaa ili kumashauri Rais kuhusu msimamo wa kupokea kukubali chanjo ya Corona au la.
Ni wazi kuwa Kamati imepewa maswali na hadidu za rejea kadhaa kuhusu ugonjwa huu. Napenda niwaongezee jambo muhimu la kufuatilia japo linaweza kuwa nje ya uwigo wa kazi yao lakini kwa umuhimu wa kamati hiyo ni vyema wakaliangalia na kulitolea maoni.
Je ni namna gani vituo binafsi au vya mashirika ya dini vilivyohandle suala la corona?
Je, ni faida kiasi gani walipata kwa kuhudumia wagonjwa wa corona ikiwemo ufanyaji wa vipimo ma matibabu?
Je, walitibu wateja wangapi waliohisiwa kuwa na corona na walipima wangapi?
Naongezea swali hili kwa kuwa najua zipo baadhi ya hospitali ziligeuza mtaji wa faida kubwa katika kugundua na kutibu corona.
Najua zipo baadhi ya hospitali au famasi zilizoingiza nchini dawa na chanjo ya corona kimya kimya na zimepiga hela nzuri