Nashauri Katiba ibadilishwe kumfanya Makamu rais wa Tanzania kuchukua madaraka kuongoza nchi baada ya Rais aliyepo kumaliza awamu yake ya 2

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba

Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais anayemaliza muda wake badala ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi

Uchaguzi Mkuu ufanyike baada ya Makamu huyo wa Rais kuchukua madaraka na kuhitimisha awamu 2 za kutawala

Ikitokea chama tawala kushindwa uchaguzi basi utaratibu huo utaanzia kwa mpya atakayeingia madarakani

Faida ni kubwa kwani Makamu wa Rais ataendekeza kirahisi maino ya bosi wake na hivyo kuifikisha nchi mbele zaidi

Miaka 20 yatosha kukamilisha mambo mengi yalopangwa
 
Unataka kutengeneza dynasty au kitu gani labda? Huyo VP baada ya kuwa president si naye itabidi awe na VP? Ni lini tutakuwa hatuna VP wa kupokea kijiti kutoka kwa president anayemaliza muhula wake wa pili?
 
Hata kama gorofani empty?
 
Kwani Samia anatekeleza sera na maoni ya Magu nje ya kumalizia ujenzi wa bwawa na reli?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba

Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais anayemaliza muda wake badala ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi

Uchaguzi Mkuu ufanyike baada ya Makamu huyo wa Rais kuchukua madaraka na kuhitimisha awamu 2 za kutawala

Ikitokea chama tawala kushindwa uchaguzi basi utaratibu huo utaanzia kwa mpya atakayeingia madarakani

Faida ni kubwa kwani Makamu wa Rais ataendekeza kirahisi maino ya bosi wake na hivyo kuifikisha nchi mbele zaidi

Miaka 20 yatosha kukamilisha mambo mengi yalopangwa
Je, una uhakika kuwa ubongo wako una ushirikiano wa kutosha kabisa na milango mingine ya fahamu ambayo unayo?
Anyway, Waingereza lakini Wana msemo wao kwamba You can learn something even from stupid knowledge!
 
Unataka kutengeneza dynasty au kitu gani labda? Huyo VP baada ya kuwa president si naye itabidi awe na VP? Ni lini tutakuwa hatuna VP wa kupokea kijiti kutoka kwa president anayemaliza muhula wake wa pili?
Mkuu nimesema vp akimaliza uchaguzi Mkuu unafanyika na kisha utaratibu huo unaanza Tena
Ni miaka 20 jumla yaani 10 ya Rais na 10 ya Makamu wake
 
Je, una uhakika kuwa ubongo wako una ushirikiano wa kutosha kabisa na milango mingine ya fahamu ambayo unayo?
Anyway, Waingereza lakini Wana msemo wao kwamba You can learn something even from stupid knowledge!

Pengine ubongo wako ungalikuwa uko timamu ungalielewa nilichoandika
 
Back
Top Bottom