Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba
Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais anayemaliza muda wake badala ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi
Uchaguzi Mkuu ufanyike baada ya Makamu huyo wa Rais kuchukua madaraka na kuhitimisha awamu 2 za kutawala
Ikitokea chama tawala kushindwa uchaguzi basi utaratibu huo utaanzia kwa mpya atakayeingia madarakani
Faida ni kubwa kwani Makamu wa Rais ataendekeza kirahisi maino ya bosi wake na hivyo kuifikisha nchi mbele zaidi
Miaka 20 yatosha kukamilisha mambo mengi yalopangwa