Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Unataka kutengeneza dynasty au kitu gani labda? Huyo VP baada ya kuwa president si naye itabidi awe na VP? Ni lini tutakuwa hatuna VP wa kupokea kijiti kutoka kwa president anayemaliza muhula wake wa pili?Wadau hamjamboni nyote?
Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba
Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais anayemaliza muda wake badala ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi
Uchaguzi Mkuu ufanyike baada ya Makamu huyo wa Rais kuchukua madaraka na kuhitimisha awamu 2 za kutawala
Ikitokea chama tawala kushindwa uchaguzi basi utaratibu huo utaanzia kwa mpya atakayeingia madarakani
Faida ni kubwa kwani Makamu wa Rais ataendekeza kirahisi maino ya bosi wake na hivyo kuifikisha nchi mbele zaidi
Miaka 20 yatosha kukamilisha mambo mengi yalopangwa
Hata kama gorofani empty?Wadau hamjamboni nyote?

Je, una uhakika kuwa ubongo wako una ushirikiano wa kutosha kabisa na milango mingine ya fahamu ambayo unayo?Wadau hamjamboni nyote?
Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba
Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais anayemaliza muda wake badala ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi
Uchaguzi Mkuu ufanyike baada ya Makamu huyo wa Rais kuchukua madaraka na kuhitimisha awamu 2 za kutawala
Ikitokea chama tawala kushindwa uchaguzi basi utaratibu huo utaanzia kwa mpya atakayeingia madarakani
Faida ni kubwa kwani Makamu wa Rais ataendekeza kirahisi maino ya bosi wake na hivyo kuifikisha nchi mbele zaidi
Miaka 20 yatosha kukamilisha mambo mengi yalopangwa
Mkuu nimesema vp akimaliza uchaguzi Mkuu unafanyika na kisha utaratibu huo unaanza TenaUnataka kutengeneza dynasty au kitu gani labda? Huyo VP baada ya kuwa president si naye itabidi awe na VP? Ni lini tutakuwa hatuna VP wa kupokea kijiti kutoka kwa president anayemaliza muhula wake wa pili?
Je, una uhakika kuwa ubongo wako una ushirikiano wa kutosha kabisa na milango mingine ya fahamu ambayo unayo?
Anyway, Waingereza lakini Wana msemo wao kwamba You can learn something even from stupid knowledge!