Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Huduma ya kwanza ipo na kibox cha huduma ya kwanza chene dawa na zana nyingne zipo kama wameacha kuweka wamejiamulia tuu.
Hili swala lilikuwepo na lilikuwa moto sana miaka ya 2010 na mtu kama ukikutwa unaendesha basi na huna kibox cha huduma ya kwanza na vifaa vyake basi we ulikuwa halali wa wasimamizi wa sheria.
ELimu pia ilikuwa inatolewa kwa madereva ila kwasasa sijaona au kusikia.
Wazo zuri mkuu