Je, hawezi kuwa na ABC za kukusaidia ukipata changamoto wakati wa safari?Kinachohitajika hapo ni sanduku la huduma ya kwanza.. Kusafiri na mtaalam wa afya ni jambo lisilowezekana kwakuwa hata ikitokea dharura hataweza kufanya kazi yake kwa ufanisi kwa ukosefu wa vifaa
Utawalipa nini hao watu, unataka kuongeza matumizi ya serikali kwa vitu visivyo na msingiLakm, kwa uelewa wangu wa darasa LA 3c naona Tz kuna vyuo vingi sana vya afya na wahitimu kuanzia ngazi ya cheti wapo wengi sana kulinganisha. Na idadi ya mabasi ya Masafa marefu
Kampuni,huska za mabasi ndio ziwalipeeUtawalipa nini hao watu, unataka kuongeza matumizi ya serikali kwa vitu visivyo na msingi
HaaahaaaWaambieni abiria waache kula hovyohovyo njiani.