Nashauri kila mwana JF asome vitabu vya Neuroscience

Kudos kwako ndugu mleta mada, kama kuna vingine nitarudi kupakua, wabheja sana.....
Mkuu kuna zip library huko unadownload chochote unachotaka kusoma bureee

Wewe kazi yako ni kugoogle kitabu kisha unazama libtary kukipakua
 
Mkuu kuna zip library huko unadownload chochote unachotaka kusoma bureee

Wewe kazi yako ni kugoogle kitabu kisha unazama libtary kukipakua
Ngoja nizame nitafute na vingine vya kitaaluma...
 
Kuna kitabu fulani nakitafuta muda mrefu kidogo Title yake ni
Brain And the Heart kimeandika na somebody Steven's ila sikumbuki Title yake vizuri aliyenacho anipatie
 
Kuna kitabu fulani nakitafuta muda mrefu kidogo Title yake ni
Brain And the Heart kimeandika na somebody Steven's ila sikumbuki Title yake vizuri aliyenacho anipatie
Ingia b-ok.org
 
Jaribu kukitafuta kama utakipata nimeangalia platforms nyingi sana sijakipata hicho kitabu
Anzia google kuwa kama unakigoogle amazon ulipata jina lake na mwandishi wake niambie nikutafutie
 
Kuna cku gari ya pepsi imepita jran na home. Ile gari ina picha ya mondi akiwa kashika peps ile big. Ilipofika jion saa 2 nkajikuta nna hamu ya kunywa peps ikabidi niende nkanunue. Skuelewa kwa kweli.
 
Wajanja wanacheza na physiology ya ubongo, psychology haina mwisho ila physiology ndio kila kitu

Soma kitabu cha MEET WITH YOUR HAPPY CHEMICALS utaelewa mechanism behind
 
Mkuu kama utaweza hicho cha 'cognitive neurosciensce' naomba ukiweke hapa, naona mchakato wa kukipakua huko umekuwa mgumu kwangu...
 
Mkuu kama utaweza hicho cha 'cognitive neurosciensce' naomba ukiweke hapa, naona mchakato wa kukipakua huko umekuwa mgumu kwangu...
Sasa mkuu kitabu kina MB nyingi kukipandisha hapa kinahitaji muda ila nitajitahidi usiku nikiweke
 
Umeenda vizuri ila ni hapo kwenye watu kutengenezewa midoli ndo umezingua haifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…