Hongera kwa kuwaza solution mkuuMtu anatoka Makongo anaenda Mbezi beach au kawe au Lugalo kwanini azungukie mlimani?
Hii inasababisha foleni, nashauri barabara ipasuliwe ije itokee pale makongo sekondari au pale Super ili wanaotoka makongo wapite pale ili kupunguza kero ya foleni ya mlimani.
Na Pale mlimani wanaotokea Suervey na chuo kikuuwawe na service road ya pembeni wawe wanapita kwa kukukunjatu bila kuja tena kuingia main road kwenye foleni hii itapunguza foleni
Huyo magu wako, alishindwa kutatua tatizo la muungano na kutuwekea CIC haeleweki mpaka leo.Angekuwepo jiwe mzee wa mabarabara labda, hawa wa sasa waziri chawa mdengereko mkuu?