Nashauri Kuwepo kwa interview kwa form six 2014 ya kuwapa nafasi ya kujiunga na chuo

Nashauri Kuwepo kwa interview kwa form six 2014 ya kuwapa nafasi ya kujiunga na chuo

beaf tanzania

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
27
Reaction score
17
Wanajamii kutokana na ufaulu wa kutisha kwa form six mwaka huu. Mnaonaje vyuo vyote kutengeneza inteview exam kwa masomo yote. Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa na tcu. Atakaye fail. Anarudia necta form six 2015.
Maoni yenu yanaweza kubadilisha mawazo ya vyuo na taifa kwa ujumla.
Asanteni
 
Kama kutakuwa hamna michango ya hiyo mitihani nipo tayari kufanya hiyo mitihani.
 
Actually kwanza hamna haja cha msingi ni kufanya moderation ya grades kwa university enrolment
 
Haiwezekani tcu c wana translate marks mpya kwenda za zamani
 
Mmmmh... naona ss mnataka watu wabak majumban....
 
mitihani ya bongo bwana hata ningefanya wa mwaka gani still ningepata one....kuhusu ilo ue inatosha kama tumepitishwa itajionyesha.
 
Back
Top Bottom