Nashauri kwa maslahi mapana ya Simba kocha Didier Gomes arejeshwe Msimbazi haraka

Nashauri kwa maslahi mapana ya Simba kocha Didier Gomes arejeshwe Msimbazi haraka

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau Nawasalimu

Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba

Didier Gomes arejeshwe kundini haraka

Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule

Hakukuwa na sababu ya kuachana naye

FB_IMG_16508694964584878.jpg

FB_IMG_16508694849679753.jpg

FB_IMG_16508694736408633.jpg

FB_IMG_16508694618080893.jpg
 
Yuko wapi kwa sasa? Aliondoka kwa sababu zipi? Wewe ndio mtoa maelekezo? Umwasiliana naye au uongozi wa Simba kuhusu hilo? Aje afanye nini? Aliyepo ataenda wapi? Amemaliza mkataba wake?

Nini kimesababisha useme hivyo? Wa sasa hana vigezo? Vigezo vipi vinatakiwa ili aliyepo aondoke na huyo Gomez arudi tena? Gomez alikuwa analipwa shilingi ngapi Simba na sasa huko aliko analipwa ngapi?

Kocha wa sasa wa Simba analipwa shilingi ngapi?

Maswali ni mengi sana bwasheee ujiulize na kuyajibu ili wazo lako lizingatiwe!!! Vinginevyo endelea kula mihogo huko Nangurukuru!!
 
Yuko wapi kwa sasa? Aliondoka kwa sababu zipi? Wewe ndio mtoa maelekezo? Umwasiliana naye au uongozi wa Simba kuhusu hilo? Aje afanye nini? Aliyepo ataenda wapi? Amemaliza mkataba wake? Nini kimesababisha useme hivyo? Wa sasa hana vigezo? Vigezo vipi vinatakiwa ili aliyepo aondoke na huyo Gomez arudi tena? Gomez alikuwa analipwa shilingi ngapi Simba na sasa huko aliko analipwa ngapi? Kocha wa sasa wa Simba analipwa shilingi ngapi?

Maswali ni mengi sana bwasheee ujiulize na kuyajibu ili wazo lako lizingatiwe!!! Vinginevyo endelea kula mihogo huko Nangurukuru!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nangurukuru unakufahamu!
 
Don Pablo Martin ni mkali sanaa

Pablo ktk game zake za away na simba kaokota goli 5 na kikosi chake hakina chama, hakina bocco 2a msimu ule

Gomezi aliokota goli 5 na yy lkn ndani ya mkikosi kulikuwa na watu yaan yy alimkosa mkude tu ...

To me Pablo ni Bora isipokuwa tu wachezaji aliowakuta hawakuwa fit 100 %
 
Na yy mtoa mada anatoa sh ngapi ya kumlipa kocha Kwa kuvunja mkataba?
 
Don Pablo Martin ni mkali sanaa

Pablo ktk game zake za away na simba kaokota goli 5 na kikosi chake hakina chama, hakina bocco 2a msimu ule

Gomezi aliokota goli 5 na yy lkn ndani ya mkikosi kulikuwa na watu yaan yy alimkosa mkude tu ...

To me Pablo ni Bora isipokuwa tu wachezaji aliowakuta hawakuwa fit 100 %
Goli tano zipi hizo?

1) vs Red arrow 1
2) vs USGN 1
3) vs Berkane 0
4) vs Mimosa 0
5) vs pirates 0
Jumla magoli mawili

Gomez:
1) Galaxy 2
2) vs plateau 1
3)vs platinum 0
4) vs Al Ahly 0
5) vs As vita 1
6) vs Al merreikh 0
7) vs Kaizer Chief 0
Jumla magoli manne
 
Yaani Utopolo mnatoa ushauri kwa Simba? Basi na nyie mrudisheni luc eymael aliewaita manyani, mambwa mnabweka bweka hovyo
 
Hata umlete Guardiola mambo ni yaleyale tu kwa wachezaji wa hovyo kama kina Mugalu.
 
Goli tano zipi hizo?
1) vs galaxy 2
2) vs Red arrow 1
3) vs USGN 1
4) vs Berkane 0
5) vs Mimosa 0
6) vs pirates 0
Jumla magoli manne

Gomez:
1) vs plateau 1
2)vs platinum 0
3) vs Al Ahly 0
4) vs As vita 1
5) vs Al merreikh 0
6) vs Kaizer Chief 0
Jumla magoli mawili
Kagoogle vizuri.....
Umekosea.
 
Don Pablo Martin ni mkali sanaa

Pablo ktk game zake za away na simba kaokota goli 5 na kikosi chake hakina chama, hakina bocco 2a msimu ule

Gomezi aliokota goli 5 na yy lkn ndani ya mkikosi kulikuwa na watu yaan yy alimkosa mkude tu ...

To me Pablo ni Bora isipokuwa tu wachezaji aliowakuta hawakuwa fit 100 %
Game ya jana ndo nimeamin Pablo ni hatari saana
 
Bora hata ungempendekeza Kishingo.

Gomez hakuna kitu,sema alikikuta kikosi kiko vizuri.
 
Goli tano zipi hizo?
1) vs galaxy 2
2) vs Red arrow 1
3) vs USGN 1
4) vs Berkane 0
5) vs Mimosa 0
6) vs pirates 0
Jumla magoli manne

Gomez:
1) vs plateau 1
2)vs platinum 0
3) vs Al Ahly 0
4) vs As vita 1
5) vs Al merreikh 0
6) vs Kaizer Chief 0
Jumla magoli mawili
Ww jamaa kweli hufuatilii.mpira ...nakushauri update memory yako

Pablo game yake ya kwanza ktk michezo ya CAF ni mechi dhidi ya Red Arrows sasa achana na hapo

Mimi nazungumzia group stage.
Asec vs Simba 3-0
Rs B vs Simba 2
OP vs simba 1-0

Hapo ni 6 kaokota
 
Back
Top Bottom