Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kumbe nangurukuru unakufahamu!Yuko wapi kwa sasa? Aliondoka kwa sababu zipi? Wewe ndio mtoa maelekezo? Umwasiliana naye au uongozi wa Simba kuhusu hilo? Aje afanye nini? Aliyepo ataenda wapi? Amemaliza mkataba wake? Nini kimesababisha useme hivyo? Wa sasa hana vigezo? Vigezo vipi vinatakiwa ili aliyepo aondoke na huyo Gomez arudi tena? Gomez alikuwa analipwa shilingi ngapi Simba na sasa huko aliko analipwa ngapi? Kocha wa sasa wa Simba analipwa shilingi ngapi?
Maswali ni mengi sana bwasheee ujiulize na kuyajibu ili wazo lako lizingatiwe!!! Vinginevyo endelea kula mihogo huko Nangurukuru!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko wapi kwa sasa? Aliondoka kwa sababu zipi? Wewe ndio mtoa maelekezo? Umwasiliana naye au uongozi wa Simba kuhusu hilo? Aje afanye nini? Aliyepo ataenda wapi? Amemaliza mkataba wake? Nini kimesababisha useme hivyo? Wa sasa hana vigezo? Vigezo vipi vinatakiwa ili aliyepo aondoke na huyo Gomez arudi tena? Gomez alikuwa analipwa shilingi ngapi Simba na sasa huko aliko analipwa ngapi? Kocha wa sasa wa Simba analipwa shilingi ngapi?
Maswali ni mengi sana bwasheee ujiulize na kuyajibu ili wazo lako lizingatiwe!!! Vinginevyo endelea kula mihogo huko Nangurukuru!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli tano zipi hizo?Don Pablo Martin ni mkali sanaa
Pablo ktk game zake za away na simba kaokota goli 5 na kikosi chake hakina chama, hakina bocco 2a msimu ule
Gomezi aliokota goli 5 na yy lkn ndani ya mkikosi kulikuwa na watu yaan yy alimkosa mkude tu ...
To me Pablo ni Bora isipokuwa tu wachezaji aliowakuta hawakuwa fit 100 %
Kagoogle vizuri.....Goli tano zipi hizo?
1) vs galaxy 2
2) vs Red arrow 1
3) vs USGN 1
4) vs Berkane 0
5) vs Mimosa 0
6) vs pirates 0
Jumla magoli manne
Gomez:
1) vs plateau 1
2)vs platinum 0
3) vs Al Ahly 0
4) vs As vita 1
5) vs Al merreikh 0
6) vs Kaizer Chief 0
Jumla magoli mawili
Game ya jana ndo nimeamin Pablo ni hatari saanaDon Pablo Martin ni mkali sanaa
Pablo ktk game zake za away na simba kaokota goli 5 na kikosi chake hakina chama, hakina bocco 2a msimu ule
Gomezi aliokota goli 5 na yy lkn ndani ya mkikosi kulikuwa na watu yaan yy alimkosa mkude tu ...
To me Pablo ni Bora isipokuwa tu wachezaji aliowakuta hawakuwa fit 100 %
Mkuu, yule OKW BOBAN SUNZU ni ndugu yako? Au, mpo kabila moja?Yaani Utopolo mnatoa ushauri kwa Simba? Basi na nyie mrudisheni luc eymael aliewaita manyani, mambwa mnabweka bweka hovyo
hapana tuko tofauti kabisaMkuu, yule OKW BOBAN SUNZU ni ndugu yako? Au, mpo kabila moja?
nini msingi wa swali lakoMkuu, yule OKW BOBAN SUNZU ni ndugu yako? Au, mpo kabila moja?
Nimeona majina yote ni kama ya kutoka kwenye lile li Nchi liitwalo "TAIFA KUBWA"!hapana tuko tofauti kabisa
Ww jamaa kweli hufuatilii.mpira ...nakushauri update memory yakoGoli tano zipi hizo?
1) vs galaxy 2
2) vs Red arrow 1
3) vs USGN 1
4) vs Berkane 0
5) vs Mimosa 0
6) vs pirates 0
Jumla magoli manne
Gomez:
1) vs plateau 1
2)vs platinum 0
3) vs Al Ahly 0
4) vs As vita 1
5) vs Al merreikh 0
6) vs Kaizer Chief 0
Jumla magoli mawili
Mkuu, jina lako, ni kama watu wa nyumbani kwetu. Sasa, naye nimeona kama nalo lina VIONJO vya huko huko kwetu!nini msingi wa swali lako