Kwa nini wasikimbie?No, wasikimbie, haya makosa wanayofanya watawala yanaharikisha ukombozi wa kweli.
Wanakwenda kupambana wakiwa huko. Umewaji sikia civil war? ANC, SWALO etc ilipiga vita kutokea njeWakimbie waende nje ya nchi halafu huu moto waliouwasha wamuachie nani? Wabaki humu tuungue wote.
Huo utaonekana kama UASI, kitu hatari kabisaShould not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia.
Definitely mapambano yanaendelea
Familia zao zilizoko nje zinatosha, wao wabaki humu humu tupambane pamoja. Ili tukifa kishujaa tufe wote.Wanakwenda kupambana wakiwa huko. Umewaji sikia civil war? ANC, SWALO etc ilipiga vita kutokea nje
Wa ATTACK kupitia nini na wako abroad?Kwa nini wasikimbie?
Unaona sawa hiyo kadhia wanayofanyiwa?
Bora wawe abroad iwe rahisi kuatack wakiwa free...
Hivi ni mimi peke yangu ninayeona kuwa utawala wa CCM unafikia ukingoni? Kwangu mimi nadhani hawana haja ya kukimbia. Sioni Samia akiwa rais kwa muda mrefu. Kila kitu kinachofanyika sasa hivi kinaonyesha uongozi wa juu wa serikali uko desperate. Wanajaribu ku-deal na kila kiumbe chenye miguu miwili na kichwa wanachodhani kinahatarisha utawala wao.Should not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia.
Definitely mapambano yanaendelea
Mbona hakuna utawala wa CCM tena kilichopo ni haramu ndugu upo dunia ganiHivi ni mimi peke yangu ninayeona kuwa utawala wa CCM unafikia ukingoni? Kwangu mimi nadhani hawana haja ya kukimbia. Sioni Samia akiwa rais kwa muda mrefu. Kila kitu kinachofanyika sasa hivi kinaonyesha uongozi wa juu wa serikali uko desperate. Wanajaribu ku-deal na kila kiumbe chenye miguu miwili na kichwa wanachodhani kinahatarisha utawala wao.
Hamna haja ya kukimbia nchi kwani wanakosa gani? Wakiwafunga wengine watanitokeza tu.Kwa nini wasikimbie?
Unaona sawa hiyo kadhia wanayofanyiwa?
Bora wawe abroad iwe rahisi kuatack wakiwa free...
Yule binti si yupo abroad lakini kazi zake zikoje?Wa ATTACK kupitia nini na wako abroad?