Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

Kama postpaid ipo kwa nn wang'ang'ane na kuuza vifurushi,postpaid inayotakiwa ni ya watumiaji wote wa simu nchi nzima sio hi ya kibaguzi.

Mfumo wa vifurushi uondolewe nchi nzima tuwe katika mfumo wa postpaid ndio nchi nyingine wanavyofanya na ndio nachozungumzia.
siyo ya kibaguzi ni wewe kufika ofisi zao wanakupa terms&conditions
 
siyo ya kibaguzi ni wewe kufika ofisi zao wanakupa terms&conditions
Every one is aware of that,ila ninachomaanisha postpaid ndio hiwe katika sera ya malipo ya simu kwa wa Tanzania wote whether you like or not kusiwe na huu mfumo wa kulanguana vifurushi ambavyo havieleweki,tuwe na utaratibu mmoja tu wa malipo.
 
Back
Top Bottom