Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

Chama liliharibiwa na mijitu ya ajabu ajabu mpaka likawa halina hazina ya viongozi.
Imagine chama letu kununua vijana toka upinzani halafu na kuwapa nafasi za uongozi.
Imagine chama kuunda serikali isiyofuata katiba ya nchi.
Chama kubariki wabunge wasio na vyama...Shame.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tunaenda mbele, au tunarudi tulikotoka? Vijana maelfu wanaohitimu vyuo kila mwaka hamwaoni!?
Vijana sindio hao kina Makonda, Sabaya, Jerry Muro, Polepole(mzee kijana) Kigwangala na the like walivyopewa madaraka ikawaje???

Vijana wengi ni wezi, madharau, viburi na kujimwambafai pale wapewapo madaraka.
Kwa Vijana niliowaona walipokabidhiw madaraka kwa hakika ni nafuu wazee kuliko sisi vijana.
 

[emoji3516][emoji23]
 
Mangula ni jiwe la kwenye kona walilolikataa wajenzi.Unaweza ukawa sahihi si unajua yule alitemagwa wakati wa utawala wa Msoga.By the way hata atempt ya kupewa sumu unaweza uunganisha dots
 
Mtoeni tu ili timu ya wapigaji ilkamilike Kama ilivyokuwa kwa Msogagang,ili 2025 tuamue vizuri.
 
Tembo wetu watanusulika kweli!?[emoji15]
 
Mkuu naona ulikuwa unawaandaa wanaCCM kisaikolojia. Hatimaye imekuwa kama mlivyopanga.
 
Huko jikoni endelea kutupasha vyema
 
Chawa pro umeaikokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…