Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 4,035 Reaction score 11,462 Apr 2, 2022 #61 Janjaweed said: Vijana ndio hopeless kabisa Click to expand... Anajisahaulisha kwa waliyotutendea Makonda, Ali Hapi na Sabaya... Hata maasikari vijana wamekuwa so brutal ukilinganisha na wazee.
Janjaweed said: Vijana ndio hopeless kabisa Click to expand... Anajisahaulisha kwa waliyotutendea Makonda, Ali Hapi na Sabaya... Hata maasikari vijana wamekuwa so brutal ukilinganisha na wazee.
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Apr 2, 2022 #62 Jasmoni Tegga said: Tunaenda mbele, au tunarudi tulikotoka? Vijana maelfu wanaohitimu vyuo kila mwaka hamwaoni!? Click to expand... Vijana mukipewa vyeo tu munaanza kututukana na kutudharau.
Jasmoni Tegga said: Tunaenda mbele, au tunarudi tulikotoka? Vijana maelfu wanaohitimu vyuo kila mwaka hamwaoni!? Click to expand... Vijana mukipewa vyeo tu munaanza kututukana na kutudharau.