Nashauri mali za CCM ziwe moja wapo ya agenda ya maridhiano

Nashauri mali za CCM ziwe moja wapo ya agenda ya maridhiano

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Moja kati ya agenda ya maridhiano iwe CCM kurudisha mali zote za umma walizojimilikisha kama viwanja vya mipira na shule za jumuia ya wazazi.

Hili jambo liangaliwe kwa umakini sana maana taifa limekuwa na imbalance. Mimi naomba hili liwe moja ya sera ya maridhiano.
 
Hapo TUME HURU iundwe,KATIBA MPYA iwekwe halafu uchaguzi ufanyike apatikane kiongozi ambaye ni chaguo la watu,mengine yatafuata.
 
hayo ya mali za ccm kwangu siyo ishu kiivyo, tunataka migodi yetu makaa ya mawe aliyojimiliksha irudi, bandari zetu walizopewa dpworld zirudi, ndugu zetu wamasai warudi kwenye ardhi yao, ujenzi ndani ya hifadhi zetu na urithi wetu ustopishwe, misitu yetu iliwekwa rehani irudishwe ...
 
Kuna Mambo ya Msingi kwanza.

1. Serikali batili iyeyuke
2.Serikali ya Mpito iundwe haraka, Ikiwa na watu wa kila sehemu wasio na mawaaa.
3.Iundwe kamati ya maridhiano, Tume ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili Uchaguzi urudiwe.
4.Walio husika na Uhuni woote huu, Tutawawajibisha tukipata serikali yenye baraka za wananchi
 
Sahihi
 
Back
Top Bottom