Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
mali zitakusaidia niniHili jambo liangaliwe kwa umakini sana maana taifa limekuwa na imbalance. Mimi naomba hili liwe moja ya sera ya maridhiano.
SahihiKuna Mambo ya Msingi kwanza.
1. Serikali batili iyeyuke
2.Serikali ya Mpito iundwe haraka, Ikiwa na watu wa kila sehemu wasio na mawaaa.
3.Iundwe kamati ya maridhiano, Tume ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili Uchaguzi urudiwe.
4.Walio husika na Uhuni woote huu, Tutawawajibisha tukipata serikali yenye baraka za wananchi