YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mikoa yote ni rahisi. Moshi utwae ardhi ya mtu hata iwe pori? atakuua na kujiua. Sababu tofauti na mikoa mingine wao ardhi ni ya ukoo siasa za ukoo kule zinakwamisha maendeleo ya ardhi ndani ya koo na kiserikali.Siwezi nikakukatalia,wala sikubaliani na wewe kwa asilimia zote, Lukuvi alisema nini kwa wenye viwanja ambavyo havijaendelezwa? Kama serikali ikiamua kupima mashamba yote nan mwenye ubavu wa kukataa?. Issue ni urasimu tu wala sio wakaazi wa moshi hakuna asietaka maendeleo
Koo kule ni serikali Sehemu zingine ardhi ni mali ya mtu binafsi kumaluzana naye inakuwa rahisi. Moshi hali tofauti. Ndio maana nasema wakae wenyewe kwanza wajadili hilo kuwa ardhi yao iendele kuwa white elephant indelee kuzalisha maskini au ibadilike.
Wakishaamua ni rahisi tu hata manispaa ya Moshi kutengeneza masterplani mpya ya kuifanya Moshi kuwa jiji na kulipanua kila upande na kuwa la kisasa.
Bila koo ku addtess issue ya ardhi iko siku moshi mjini itakuwa sawa na hadhi ya mji wa ujiji.