Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji 2022. Mashamba makubwa yaruhusiwe ndani ya mipango miji

Bado Sana ,kwanza mapato tuu kiduchu.
 
Basi ungesema pajengwe pawe jiji.
 
Ishu sio mapato hyo ingekuwa fasta na kuwa jiji kushinda Tanga ya ovyo

Kinachowagharimu ni ukabila basi na mambo ya wazamani hawataki wageni
Tanga kama ni ya hovyo unadhani kwa nini inaitwa Jiji?

Narudia tena mapato ni factor muhimu sana.
 
Kaka uzuri ya tanga inaweza badilika na uweekezaji unasapot mfano pale mjini centre ukimpa mdigo mil 40 na fungu la dagaa anakuachia nyumba anahamia huko porini karidhika 🤣🤣
Ndio maana nakwambia Tanga ni moja ya mikoa inayochangia mapato mengi kwa vile kuna bandari na viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…