Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Mnacheza na vibonde unawaita wapinzani ?Heri Maana Young Africans Amekosa Mpinzani Kabisa
Unaalika tu bonanza lako la kitoto ? Labda uite Islamic Revolution Cup.....wenye imani zao warakuja sio ujinga ujinga...na zawadi iwe $ 1m ....$ 500k $ 300k ....kushiriki $ 100k.....sasa kwa lipi zbar imegubikwa umasikini uliokemfeuka......watu 1m tu wameishinda kuwapa maisha standard kazi......hata elimu bure likini zbar wajinga wengi kuliko bara...kuliko nchi zote africa....Habari wakuu,
kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ningeshauri kombe la Mapinduzi lijalo Club ya Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili kuongeza ushindani na Chachu ya mshindano kwa Vilabu vyetu.
Uzi tayari, Picha haihusiani na kilichoandikwa View attachment 2863072
Mapinduzi cup ni kama tu Mechi za kirafiki zilizochangamka nina hakika Belouizdad hawawez kataa watachezesha hata Kikosi CUnaalika tu bonanza lako la kitoto ? Labda uite Islamic Revolution Cup.....wenye imani zao warakuja sio ujinga ujinga...na zawadi iwe $ 1m ....$ 500k $ 300k ....kushiriki $ 100k.....sasa kwa lipi zbar imegubikwa umasikini uliokemfeuka......watu 1m tu wameishinda kuwapa maisha standard kazi......hata elimu bure likini zbar wajinga wengi kuliko bara...kuliko nchi zote africa....
Kwanza nakuambia ukweli hao waarab wanatudharau sisi sana .....hawakupenda kuitwa africa....trust me sisi tunajioendejeza kwaoMapinduzi cup ni kama tu Mechi za kirafiki zilizochangamka nina hakika Belouizdad hawawez kataa watachezesha hata Kikosi C
Hilo lipo wazi kabsa We si unaona hata walipofika nusu fainali Fifa world cup wakaanza kusema ushndi huu ni kwa nchi za kiarabu, Mizimu ya kiafrika ilikasirika sana The rest is history 😀Kwanza nakuambia ukweli hao waarab wanatudharau sisi sana .....hawakupenda kuitwa africa....trust me sisi tunajioendejeza kwao
Tuache kujipendeieza kisa imani sawa.....hawatakiiiHilo lipo wazi kabsa We si unaona hata walipofika nusu fainali Fifa world cup wakaanza kusema ushndi huu ni kwa nchi za kiarabu, Mizimu ya kiafrika ilikasirika sana The rest is history 😀
Baada ya kumkimbia Azam kwa muda mrefu, kuna kila dalili ya kukutanana naye kwenye hatua ya nusu fainali!! Na kule Zanzibar hakuna Bodi ya Ligi ya kuahirisha tena hiyo mechi!!Habari wakuu,
kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ningeshauri kombe la Mapinduzi lijalo Club ya Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili kuongeza ushindani na Chachu ya mshindano kwa Vilabu vyetu.
Uzi tayari, Picha haihusiani na kilichoandikwa View attachment 2863072