Nashauri Mapinduzi Cup ya Mwakani Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili Kuongeza Chachu na kuleta ushindani zaidi

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,470
Reaction score
7,376
Habari wakuu,

kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ningeshauri kombe la Mapinduzi lijalo Club ya Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili kuongeza ushindani na Chachu ya mshindano kwa Vilabu vyetu.

Uzi tayari, Picha haihusiani na kilichoandikwa
images.jpeg
 
Habari wakuu,

kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ningeshauri kombe la Mapinduzi lijalo Club ya Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili kuongeza ushindani na Chachu ya mshindano kwa Vilabu vyetu.

Uzi tayari, Picha haihusiani na kilichoandikwa View attachment 2863072
Unaalika tu bonanza lako la kitoto ? Labda uite Islamic Revolution Cup.....wenye imani zao warakuja sio ujinga ujinga...na zawadi iwe $ 1m ....$ 500k $ 300k ....kushiriki $ 100k.....sasa kwa lipi zbar imegubikwa umasikini uliokemfeuka......watu 1m tu wameishinda kuwapa maisha standard kazi......hata elimu bure likini zbar wajinga wengi kuliko bara...kuliko nchi zote africa....
 
Mapinduzi cup ni kama tu Mechi za kirafiki zilizochangamka nina hakika Belouizdad hawawez kataa watachezesha hata Kikosi C
 
Kwanza nakuambia ukweli hao waarab wanatudharau sisi sana .....hawakupenda kuitwa africa....trust me sisi tunajioendejeza kwao
 
Hilo lipo wazi kabsa We si unaona hata walipofika nusu fainali Fifa world cup wakaanza kusema ushndi huu ni kwa nchi za kiarabu, Mizimu ya kiafrika ilikasirika sana The rest is history 😀
 
Tuache kujipendeieza kisa imani sawa.....hawatakiii
 
Kwa hiyo milioni 100?
Yanga,Simba wanashiriki kwa heshima tu ya nchi,ni hasara Sana.
 
Habari wakuu,

kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ningeshauri kombe la Mapinduzi lijalo Club ya Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili kuongeza ushindani na Chachu ya mshindano kwa Vilabu vyetu.

Uzi tayari, Picha haihusiani na kilichoandikwa View attachment 2863072
Baada ya kumkimbia Azam kwa muda mrefu, kuna kila dalili ya kukutanana naye kwenye hatua ya nusu fainali!! Na kule Zanzibar hakuna Bodi ya Ligi ya kuahirisha tena hiyo mechi!!

Nawaza tu sijui mtakubali tu kutolewa na Jamhuri, ili kuikwepa adhabu ya kichapo endelevu kutoka wababe wenu!!
 
Back
Top Bottom