Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Semina Elekezi ya Kikwete ilikuwa kwenda kula Bata pale Hotels Ngurdoto !
Semina Elekezi iliyo bora ilitakiwa ifanyike pale Ukumbi wa CCM wa Kizota sio Ngurdoto !
Pale ilikuwa ni kwenda kuwafundisha wateule namna ya kutumbua maisha !
 
Alichoongea DC ni sahihi au sio sahihi? Kama sio sahihi basi wapelekwe hizo semina elekezi wafundwe how to address the public na vikao. Ila kama ni sahihi sioni mantiki ya semina elekezi.
 
Ni tabia tu ya mtu lakini semina huwa zinafanyika mara nyingi sana za masuala mbalimbali Mtambuka ikiwepo hilo unalolitaka wewe. Mara ngapi umesikia kupitia vyombo vya habari viongozi hao wakiwa katika semina.

Kumbuka tabia ni kama Ngozi tu.Wengine unawapa semina leo halafu kesho anafanya kilekile alichokatazwa jana. Ila nimesikitishwa sana na maneno ya Mheshimiwa DC kwa sababu amejidhalilisha sana na kuikosea heshima ofisi ya DC NA KUMKOSEA SANA Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Mwisho niseme kuwa hapa Duniani kuna watu wanachezea sana nafasi mpaka mtu unabaki unashangaa.Yaani mtu unapata Uteuzi wa Rais halafu unauletea mchezo? Mimi siwezi kufanya ujinga huo kuchezea nafasi. Watu wapo mitaani na vyeti vyao lakini hawana kazi unafikiri wanaweza kufanya kazi kiasi gani wakipewa nafasi ya uteuzi wa Rais?
 
Wapelekwe semina gani hao washenzi kula kodi zetu tu bila sababu?mtu mzima umpeleke semina kote alikopelekwa na wazazi wake kusoma anzia shule ya msingi secondary chuo alifata nini kama kitu kidogo tu kama ku-control mdomo wake kinamshinda,na kwanini anayewateuwa asiteuwe watu wenye akili?

Unadhani mpaka wanafikia kuongea ujinga huo zinakuwa ni akili zao,hao ni cursed people laana za wanayoyafanya kwa wenzao kipindi wakiwa na madaraka fulani zinawarudi haiwezekani mtu aropokwe mineno yote hiyo.
 
Ukweli mchungu sana daima huwa unachoma moyoni.
Huu ni Ukweli mchungu sana.

CCM KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI AU KUSHINDA KWENYE UCHAGUZI HAITEGEMEI KUPIGIWA KURA NA MTU YOYOTE YULE KATIKA UCHAGUZI WA SIASA HAPA NCHINI TANZANIA.

Aidha, katika Uchunguzi uliofanyika kwa kificho ulibaini kwamba wale Watu waliohusika kwenye Usimamizi wa Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania Mwaka 2020 walikuwa ni aidha Mawakala wa Siri wa TISS au Maaskari Polisi. Siku chache kabla ya Uchaguzi huo Watu hao Walikusanywa kwenye Makambi kwa ajili ya kupewa Mafunzo Maalumu ya Kuhujumu Uchaguzi huo ili kuipa Ushindi CCM.
Ma-DSO wote waliokuwepo walikabidhiwa jukumu naalumu la kuratibu na Kusimamia Mpango huo.

Kwa wale Watu wengine waliohudhuria mapema kwenye Vituo vya Kupiga Kura siku ya Uchaguzi Mwaka huo wa 2020 nafikiri mtakuwa mashuhuda wazuri kwamba mliwakuta Vijana waliobeba mabegi kwenye vituo vya kupigia Kura, hao ndio w
 
Huyu DC wa Longido amesema Ukweli mchungu sana. Hataki Unafiki.

CCM KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI AU KUSHINDA KWENYE UCHAGUZI HAITEGEMEI KUPIGIWA KURA NA MTU YOYOTE YULE KATIKA UCHAGUZI WA SIASA HAPA NCHINI TANZANIA.

Aidha, katika Uchunguzi uliofanyika kwa kificho ulibaini kwamba wale Watu waliohusika kwenye Usimamizi wa Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania Mwaka 2020 walikuwa ni aidha Mawakala wa Siri wa TISS au Maaskari Polisi. Siku chache kabla ya Uchaguzi huo Watu hao Walikusanywa kwenye Makambi kwa ajili ya kupewa Mafunzo Maalumu ya Kuhujumu Uchaguzi huo ili kuipa Ushindi CCM.
Ma-DSO wote waliokuwepo walikabidhiwa jukumu maalumu la kuratibu na Kusimamia Mpango huo.

Kwa wale Watu wengine waliohudhuria mapema kwenye Vituo vya Kupiga Kura siku ya Uchaguzi Mwaka huo wa 2020 nafikiri mtakuwa mashuhuda wazuri kwamba mliwakuta Vijana waliobeba mabegi kwenye vituo vya kupigia Kura, hao ndio Watu wenyewe waliohusika na utekelezaji wa Mpango huo
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma, jambo la kufanya ni serikali kufuta vyeo vya DC wabaki wakurugenzi tena waliosomea uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…