Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Semina ya mikakati ya kudanganya umma (propaganda)? Interesting 🤔
 
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Haya maneno mawili,yana maana pana sana "......kwenye mapori...... .....washachakata kwenye vitongoji,kata na vijiji vyote........" Huyu naona yupo kamati moja na Nape,kila siku wanazidi kuzihirisha kwamba sanduku la kura si chochote.

Ila huko kwenye mapori,wanafanyaga nini.........? Ila ninavyo wajua wnasiasa wanaweza kukwambia wanaendaga kukata gogo.
 
Tatizo ni kuokoteza watu, watumishi wa umma wanakula kiapo cha kutotoa siri za nchi.

Hii ndio sababu unakuta mtu kama Jenista Mhagama pamoja na uwezo wake mdogo. Kwa nafasi zake anajua mengi ya nchi ila ni trusted kwenye inner circle kutunza siri za nchi.

Mropokaji kama huyo angeachwa ndio ingekuwa tatizo, ni sawa alivyotumbuliwa hana tofauti na Napę katika uropokaji.
Mkuu kama hizo “alizoropoka” DC zina quality ya siri za nchi then we are living in one hell of a sthl* country! (*Courtesy of D Trump).
 
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mkuu kabla ushauri wako haujafanyiwa KAZI ni vizuri huyu DC afikishwe MBELE ya Sheria akaulizwe na akina Madeleka huko poloni kilifanyika Nini?
Kumbuka hata sativa aliokotwa polini.
 
Nduli aliondoa wafanyakazi wenye vyeti fake akaleta wenyeviti wa vijiji,madiwani na wabunge fake. Ukute na Mzungumzaji wa bunge naye ni kanyaboya!
 
Hivi lengo lako la kutaka apate semina ni lipi!? Afiche wanachofanyaga!? Au agome kufanya wanavyofanyaga!?

Maana kwa maelezo niliyopewa na mdada mmoja alisimamia uchaguzi anasema kwenye semina elekezi waliambiwa na waseminishaji kwamba ukimpitisha mpinzani tutakung'oa korodani.
Kwa maneno ya huyu mwamba naona kumbe ndio michezo yao
Mkuu fuatilia wasimamia uchaguzi ni akina nani?
Wana sofa zipi? Kumbuka wengi wao ni walimu na miongoni mwao wapo wanaojielewa na Huwa hawachukuliwi kabisaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom