Semina ya mikakati ya kudanganya umma (propaganda)? Interesting 🤔Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha
Mlale Unono 😃
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Nape alishamaliza kila kituItakuwa kwasababu wametoa siri.
Haya maneno mawili,yana maana pana sana "......kwenye mapori...... .....washachakata kwenye vitongoji,kata na vijiji vyote........" Huyu naona yupo kamati moja na Nape,kila siku wanazidi kuzihirisha kwamba sanduku la kura si chochote.Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha
Mlale Unono 😃
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mkuu kama hizo “alizoropoka” DC zina quality ya siri za nchi then we are living in one hell of a sthl* country! (*Courtesy of D Trump).Tatizo ni kuokoteza watu, watumishi wa umma wanakula kiapo cha kutotoa siri za nchi.
Hii ndio sababu unakuta mtu kama Jenista Mhagama pamoja na uwezo wake mdogo. Kwa nafasi zake anajua mengi ya nchi ila ni trusted kwenye inner circle kutunza siri za nchi.
Mropokaji kama huyo angeachwa ndio ingekuwa tatizo, ni sawa alivyotumbuliwa hana tofauti na Napę katika uropokaji.
Mkuu kabla ushauri wako haujafanyiwa KAZI ni vizuri huyu DC afikishwe MBELE ya Sheria akaulizwe na akina Madeleka huko poloni kilifanyika Nini?Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha
Mlale Unono 😃
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mkuu fuatilia wasimamia uchaguzi ni akina nani?Hivi lengo lako la kutaka apate semina ni lipi!? Afiche wanachofanyaga!? Au agome kufanya wanavyofanyaga!?
Maana kwa maelezo niliyopewa na mdada mmoja alisimamia uchaguzi anasema kwenye semina elekezi waliambiwa na waseminishaji kwamba ukimpitisha mpinzani tutakung'oa korodani.
Kwa maneno ya huyu mwamba naona kumbe ndio michezo yao
Kwakweli 😂Mkuu kama hizo “alizoropoka” DC zina quality ya siri za nchi then we are living in one hell of a sthl* country! (*Courtesy of D Trump).