instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi pendekeza katiba mpya kwa kipindi hiki
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameimarisha uchumi inshallah basi Hz Hela ziwasaidie watanzania wote badala ya kikundi kidogo kwa Jina la katiba mpya, Napinga na kuukataa mchakato wa katiba mpya kwasababu ni initiatives za umasikini nchini.