instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Trash🚮🚮🚮Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi pendekeza katiba mpya kwa kipindi hiki
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameimarisha uchumi inshallah basi Hz Hela ziwasaidie watanzania wote badala ya kikundi kidogo kwa Jina la katiba mpya, Napinga na kuukataa mchakato wa katiba mpya kwasababu ni initiatives za umasikini nchini.
No offense but najaribugi kuwaza ni kwamba unapoandika mambo kama aya ni raigbait ama ni kweli unamaanisha, na kwamba waafrika ndo huwa hatuna akili kiasi ichi ?.Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi pendekeza katiba mpya kwa kipindi hiki
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameimarisha uchumi inshallah basi Hz Hela ziwasaidie watanzania wote badala ya kikundi kidogo kwa Jina la katiba mpya, Napinga na kuukataa mchakato wa katiba mpya kwasababu ni initiatives za umasikini nchini.
Ili ujenge uchumi kwanza ondoa chawa wanaotafuna kodi zetu bila jasho, tanzania ni nchi pekee inayofuga chawa ili kuwa mdarakani.Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi pendekeza katiba mpya kwa kipindi hiki
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameimarisha uchumi inshallah basi Hz Hela ziwasaidie watanzania wote badala ya kikundi kidogo kwa Jina la katiba mpya, Napinga na kuukataa mchakato wa katiba mpya kwasababu ni initiatives za umasikini nchini.
Katiba inazuia kuchezea pesa, wakati Maghu anajenga airport chato, uwanja ambao hauna faida, pesa imezikwa, ndio matumizi mabaya ya pesa, Katiba Maya, ingezuia upumbavu kama huuKuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi pendekeza katiba mpya kwa kipindi hiki
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameimarisha uchumi inshallah basi Hz Hela ziwasaidie watanzania wote badala ya kikundi kidogo kwa Jina la katiba mpya, Napinga na kuukataa mchakato wa katiba mpya kwasababu ni initiatives za umasikini nchini.
Zako,acha mawazo mgando! Katiba mpya ni muhimu, Wewe tuu,ubaki pembeni!Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi pendekeza katiba mpya kwa kipindi hiki
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameimarisha uchumi inshallah basi Hz Hela ziwasaidie watanzania wote badala ya kikundi kidogo kwa Jina la katiba mpya, Napinga na kuukataa mchakato wa katiba mpya kwasababu ni initiatives za umasikini nchini.
Mchakato upi tena? Mchakato ushanyika wa tume ya warioba ✔️Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.