Nashauri mwezi Oktoba uwe mwezi wa likizo ya mapenzi

Nashauri mwezi Oktoba uwe mwezi wa likizo ya mapenzi

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Kutokana na matukio ya visa vya mauaji kushamiri mwezi huu wa OCTOBER naomba muswada wa dharura upelekwe bungeni kuliokoa taifa na mauaji ya walimbwende.Mwezi october nchi nzima watu wote waachane na shughuli za mapenzi kwa siku 30 mpaka november 1.

Hii itasaidia kupunguza mikwamo ya kihisia na hasira za kuliwa nauli,kusomesha na bado mtu kuachwa,kuhonga na bado mtu analombewa, kujitoa kwa kila namna lakini wahuni bado hawakuonei huruma wanaichapa🥱🥱🥱.Hali ni tete mapenzi yafutwe!!!!

Aidha napenda kuwashauri vijana wajiunge na chama la wana chama kubwa, KATAA NDOA(MAHUSIANO YA KUDUMU) MAPENZI NI ULAGHAI!!!

KATAA NDOA( MAHUSIANO YA KUDUMU) TUPO TUNAWAZOOM WAZEE WA MALOVEEE😄😄😄😎😎😎👋👋

Wanaume mnaoendekeza hisia mtaishia jela.

MPAKA LEO TAREHE 07/10/2026.🚨🚨🚨🚨
1.Bunju
2.Musoma
3.Kigamboni.........


📌KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO!!!

#UTU NI KAZI!!
 
1791348090452.png
 
Mhhh....mapenzi ni mazuri mno ukifuata utaratibu tu!
 
Kuna Uzi uliletwa humu ukitahadharisha kua mwezi octobar ni mwezi wa mifarakano kwenye mahusiano wanaume tuchukue tahadhari naona matukio haya yana reflect ule uzi
 
Back
Top Bottom