General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Sisi tunafundisha na hamji kusomaNashauri serikali iweze kuanzisha somo la Ndoa kwa kila mmoja anae karibia kuingia humo.
Hakika Wengi wetu tunaingia katika ndoa bila kujua bila kuelewa ndoa nakujikuta tunazama kupitia Mihemko.
Ndoa ni familia...Familia ndo Jamii na Jamii ni Nchi.
Hakika kuna haja ya Serikali kuwekeza
kwenye Somo la ndoa.
Kwa Nchi yetu ukitoa vifo vya ajali mbali mbali basi zinafuatia vifo vya Mahusiano.Hakika kwenye hili kuna hitajika Syllabus mtu afaulu ndipo aingie kwenye Ndoa.
Nisiseme sana ila Wadau watakuwa wameelewa.
Mnapofundisha ni bure na hamna mtihani ama mtihani ndo kuiishi ndoa yenyewe?Sisi tunafundisha na hamji kusoma
Hakuna somo lisilo na mitihaniMnapofundisha ni bure na hamna mtihani ama mtihani ndo kuiishi ndoa yenyewe?
NDOA NI UTAPELINdoa ni familia...Familia ndo Jamii na Jamii ni Nchi.
Kaka ambae hajaingia kwenye ndoa namtamani sanaNDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
Dah...Haitakuwa na maana, labda kwa mfumo mwingine maana watu wanasoma kuhusu rushwa tangu primary lakini hali ni ileile.