#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

... you really like this vaccine discussion & as observed most of the comments are yours' in this thread!
The whole thread is like a serial soap opera with many episodes indeed!
ANY CONCLUSION? ... CAN YOU, STRONGLY, ADVISE PEOPLE TO STOP USING VACCINES LIKE RABIES VACCINE, TETANUS VACCINE ETC?
 
Tujikite kwenye chanjo ya Corona, mada ipo hapo. Ninachoweka ni updates za madhara wanayopata waliochoma miaka mi5 nyuma, mfano Japan case za heart failure kwa waliochoma zimeongezeka kwa 4900%.., nitaendelea kuweka updates hata baada ya miaka 20, labda JF ifungwe…, maana kipindi kile tunaomba mjadala na waziri ilikuwa ni kuhojji possible outcomes kama hizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…