Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Kama tujuavyo janga la Corona linavyo shika kasi. Hata hvyo serikali yetu kwa kushindwa kufunga mipaka inaongeza muingiliano hivyo ni kweli watanzania tumeuvaa. Kwamimi binafsi na mwezi wa pili na dalili zote za Corona. Kwasasa hadi baadhi ya shughuri nimeahirisha.
-Kwanzia mafua (sina kawaida ya kuumwa mafua)
Nahii imedumu toka Mwezi wa pili.
Hata hvyo nimekutana na nimepigiwa simu na watu kadhaa wakinieleza dalili tajwa wakiomba ushauri
Ukweli huu ugonjwa upo na wengi tumepata. Nafahamu serikali inalitambua, Ila sasa kuna siasa na matisho mengi kiasi kwamba hata wananchi wanaogopa kwenda vituo vya afya.
Serikali haina budi kupima raia wake wote especially wa majiji kama Dar na Arusha na Moshi .kabla mambo hayajazid kuwa mabaya.
Ambapo ndo chimbuko na mwingiliano ni mkubwa. Mwisho hili janga ni kubwa Kuliko uwezo wetu . Tusisahau kusali kila mtu kwa imani yake. Tulinde wazee, na watoto na wagonjwa haswa. Natilia mkazo haswa.
Kama unauwezo jifungie ndani na familia yako uwokoe unaowapenda .sipotoshi ila nasema ukweli.
Nunua bidhaa muhimu weka ndani hujui la kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app

- homa
- Maumivu ya kwenye maungio zaid ya miezi miwili
- Uchovu
- kifua kubana