Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
- Thread starter
- #21
Wagonjwa wapo wengi, naweza sema kinga za miili zinatubeba sana.
Ila USA wana visa 93000 unaweza sema wenyewe ndo wanawaathilika wengi.
La hasha wameamua kuwapima wagonjwa wao ili wawe na takwimu sahihi. Ili wajue jinsi ya kuhudumia,
Hapa kwetu ni we kuiponya familia yako hamna jingine.
Ila USA wana visa 93000 unaweza sema wenyewe ndo wanawaathilika wengi.
La hasha wameamua kuwapima wagonjwa wao ili wawe na takwimu sahihi. Ili wajue jinsi ya kuhudumia,
Hapa kwetu ni we kuiponya familia yako hamna jingine.
Mkuu binafsi kuna kitu hii serikali inanishangaza sana tena sana ila basi tu
Moja tangu tuambiwe wagonjwa wako 11 Tanzania bara na 3 visiwani,huku bara hakuna updates zozote juu ya huu ugonjwa,ni muhimu sana wananchi wapate taarifa za maambukizi ni watu wangapi wako na covid 19 na ni wanapatikana mkoa gani ,hii itasaidia watu kujua na kuchukua tahadhari zaidi,lakini Leo hii wamekaa kimya hakuna taarifa za maambukizi lakini ukweli ni kwamba maambukizi mapya hapo,ila yanafichwa na sijui yanafichwa kwa faida ya nani
Pili serikali hii inaomba watu wachangie pesa ili kupambana na covid 19 ,hebu jiulize hiyo pesa ya kazi gani, ina maana serikali imeshidwa kuhudumia wagonjwa 13 tu iliokuwa nao hadi ilazimishe watu kuchangia pesa ,je hizo pesa zinachangwa kwa matumizi yapi wakati serikali imeshadhibiti maambukizi kwani ni wiki tatu sasa zimepita bila kuwa na maambukizi mapya
Sent using Jamii Forums mobile app