#COVID19 Nashauri Serikali ifanye utaratibu wa kupima raia wake Corona

Wagonjwa wapo wengi, naweza sema kinga za miili zinatubeba sana.
Ila USA wana visa 93000 unaweza sema wenyewe ndo wanawaathilika wengi.
La hasha wameamua kuwapima wagonjwa wao ili wawe na takwimu sahihi. Ili wajue jinsi ya kuhudumia,
Hapa kwetu ni we kuiponya familia yako hamna jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…